Mheshimiwa Murshid Ngeze pia ni Diwani Kata ya Rukoma na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.
Mhe. Murshind Ngeze, alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa ALAT TAIFA Katika Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi Uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete Convention Centre Tarehe 27 Septemba 2021 kuongoza Jumuiya ya Tawala za Mitaa kwa Kipindi cha Miaka 5.
Jengo la Sokoine,Barabara ya CDA Dodoma
Postal Address: P.O.Box 2049 DODOMA
Telephone: 0262323407
Mobile: +255(0)784209840 au
Email: alat_tz@yahoo.com
Copyright ©2018 ALAT . All rights reserved.