Ujumbe wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Taifa Mheshimiwa Stephen Mhapa na Katibu Mkuu bwana Elirehema Kaaya, wakipata maelezo kutoka kwa mtendaji mkuu wa kikundi cha akina mama wajasiriamali wanaojishughulisha na ushonaji wa nguo cha JUWATE kilichopo manispaa ya Temeke bibi Maimuna Kubegeya hivi karibuni. Katika msafara huo pia alikuwepo Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdalah Chaurembo
Jengo la Sokoine,Barabara ya CDA Dodoma
Postal Address: P.O.Box 2049 DODOMA
Telephone: 0262323407
Mobile: +255(0)784209840 au
Email: alat_tz@yahoo.com
Copyright ©2018 ALAT . All rights reserved.