Na Thomas Vungwa, Dodoma.
Afisa Mwandamizi kutoka Benki ya NMB, Bi Vicky Bishubo akikabidhi Kalenda kwa Mwenyekiti wa ALAT TAIFA Mhe. Murshid Ngeze, Makamu Mwenyekiti Mhe. Sima Costantine Sima, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ALAT TAIFA Mhe. Jaffary Juma Nyaigosha pamoja na Ndugu. Elirehema Moses Kaaya, Katibu Mkuu ALAT TAIFA.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya ALAT Jijini, Dodoma.
Aidha Mwenyekiti wa ALAT TAIFA, Mhe. Murshid Ngeze amewashukuru Benki ya NMB kwa Ushirikiano baina yao na Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania.
Jengo la Sokoine,Barabara ya CDA Dodoma
Postal Address: P.O.Box 2049 DODOMA
Telephone: 0262323407
Mobile: +255(0)784209840 au
Email: alat_tz@yahoo.com
Copyright ©2018 ALAT . All rights reserved.