• complaint |
    • Wasiliana nasi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
ASSOCIATION OF LOCAL AUTHORITIES OF TANZANIA-ALAT
ASSOCIATION OF LOCAL AUTHORITIES OF TANZANIA-ALAT

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania

  • Home
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Mission and Vision
  • Tunafanya nini?
    • Service one
    • Services two
  • Utawala
    • Organization Structure
  • Machapisho
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Utawala
    • Application Forms
  • Kituo cha Habari
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • Habari Mpya
    • Matukio
  • Projects
    • lic projects
  • Halmashauri

Rais Dkt .Samia kufungua Mkutano Mkuu wa 38 wa ALAT Zanzibar

Posted on: April 19th, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 23 Aprili 2024 atakuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 38 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) utakaofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip mjini Zanzibar.

Mkutano huo utakaofanyika kuanzia tarehe 23 Aprili, 2024 na kukamilika tarehe25 Aprili, 2024 utawakutanisha washiriki 600, wakiwemo Wastahiki Mameya wa Majiji na Manispaa, Waheshimiwa Wenyeviti wa Halmashauri,na Wakurugenzi wa Halmashauri zote 184 za Tanzania Bara.

Kaimu Katibu Mkuu wa ALAT Taifa Bw. Mohamed Maje amesema maandalizi yote muhimu kwa ajili ya kufanyika kwa mkutano huo yamekamilika.

Amesema pamoja na mambo mengine, mkutano huo ni fursa ya kuwakutanisha viongozi wakuu wa Serikali Kuu na za Mitaa kwa ajili ya kutoa maelekezo na miongozo ya kisera kwa watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.

Kaulimbiu ya Mkutano huo ni “Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni JamboLetu; Shiriki kwa Maendeleo ya Taifa”

Raiswa Zanzibar Mhe.Dkt Hussein Mwinyi anatarajia kufunga Mkutano huo tarehe 25 Aprili, 2024.



Matangazo

  • MAPATO YA NDANI YA HALMASHAURI. March 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Rais Samia Aziagiza Halmashauri Kusimamia Mapato na Matumizi Sahihi

    March 13, 2025
  • ALAT yaipongeza Serikali kwa Maendeleo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa

    March 11, 2025
  • Waziri Mchengerwa awataka Viongozi wa Mitaa kusukuma maendeleo katika maeneo yao

    March 12, 2025
  • NMB Yadhamini Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT kwa Sh Milioni 170

    March 10, 2025
  • View All

Video

mikumi
More Videos

Quick Links

  • ALAT

Related Links

  • TAMISEMI
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Jengo la Sokoine,Barabara ya CDA Dodoma

    Postal Address: P.O.Box 2049 DODOMA

    Telephone: 0262323407

    Mobile: +255(0)784209840 au

    Email: alat_tz@yahoo.com

Mawasiliano mengine

   

Wanaotembelea

Visitors Counter

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2018 ALAT . All rights reserved.