Kamati ya utendaji ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini (Alat) inayokutana jijini Arusha, imeagiza tuzo hizo zianze kutolewa mwaka huu na wanufaika wa kwanza watajulikana kwa kutangazwa na kukabidhiwa zawadi zao wakati wa mkutano mkuu wa Alat unaotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaama, Aprili, mwaka huu.
Jengo la Sokoine,Barabara ya CDA Dodoma
Postal Address: P.O.Box 2049 DODOMA
Telephone: 0262323407
Mobile: +255(0)784209840 au
Email: alat_tz@yahoo.com
Copyright ©2018 ALAT . All rights reserved.