Wednesday 22nd, January 2025
@Temeke, Dar es salaam.
Kamati ya Utendaji ya ALAT TAIFA ilifanya kikao chake cha kawaida katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam tarehe 7-8/Desemba 2021, baada ya kufanyika kwa Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa ALAT TAIFA Jijini Dodoma Tarehe 27 September 2021 katika Ukumbi wa Jakaya Mrisho Kikwete Convention Centre.
Jengo la Sokoine,Barabara ya CDA Dodoma
Postal Address: P.O.Box 2049 DODOMA
Telephone: 0262323407
Mobile: +255(0)784209840 au
Email: alat_tz@yahoo.com
Copyright ©2018 ALAT . All rights reserved.